Subscribe Us

Header Ads

Polisi, mahabusu wafariki kwa ajali Mwanza



Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Mwanza


Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita,Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo