Subscribe Us

Header Ads

Haji Manara Atoa Mpya Nyingine..Awaombea SIMBA Msamaha South Africa Baada ya Kuonesha Imani za Kishirikina Uwanjani



Haji Manara Ameandika haya:

"Kwa niaba ya Uongozi wa Yanga, Kwa niaba ya Watanzania wenzangu, na Kwa kuwa nchi za Tanzania na South Africa ni Marafiki,,na Kwa kuwa waliofanya hicho kitendo ni ndugu zetu na watani zetu wa jadi.

Naomba niwaombee radhi Kolo fc Kwa SAFA, CAF na Watu wa South African Kwa ujumla.

Pamoja na kwamba ni kitendo cha fedheha kwetu kama Watanzania lakini naomba mtusamehe sana, hatutarudia kufanya Shirki tena uwanjani,hususan ktk Mwezi huu wa Ramadhan.

Tusameheni cc ,,Tumekosa cc,,ni Upumbav tu wa kuamini Uchawi ndio utatuvusha.

Na nyie Makolo nishawaombea radhi,,hope hamtarudia tena kuwanga katika nchi za watu,,,tena kweupeeeee,,,kisha mnawanga huku mmevaa VISIT TANZANIA,,hii ni nchi kubwa sana na ina heshma duniani.