Subscribe Us

Header Ads

Haji Manara Atoa Mpya "Huo ukimya wa SIMBA kuelekea Mechi Yetu na wao Mnaujua Chanzo chake?"



Maneno ya Haji Manara kuelekea Mechi ya Yanga na Simba:

"Huo ukimya wa Makolo mnaujua chanzo chake?

Hii mechi Yanga ndio Mwenyeji wa mchezo,,na kwa mujibu wa utaratibu,,Team Mwenyeji hupata mzigo wote baada ya yale makato ya kikanuni kwa Taasisi nyingine.

So Kwa akili yao wanaona kukaa kimya kwao na kutosema lolote labda Washabiki wao hawatakuja, wakiamini Mapato ya Jumamosi yatapungua.

Niwahakikishie Yanga tunatosha, tupo wa kumwaga,,tutaujaza Uwanja bila hata kolo mmoja kuwepo.

Sisi tuna watu, na watu wenyewe ndio Wamiliki wa Nchi hiii.

Mkija au mkisusa hizo sio sheeda zetu Wananchi, We Are Yanga Afrikaaaaaaaaaaaaa

Au kama vp njooni na uchawi wenu wa moto watu wasije Lupaso Jumamosi" Manara