Subscribe Us

Header Ads

Avamiwa na Watu Watano, Alazwa na Kushonwa Nyuzi Tano

 

Maskini Mmasai Kill Paul 


Kili Paul amevamiwa na kushambuliwa na watu watano (5) kwa visu na marungu, ameweza kupambana nao wakakimbia.

Amelezwa Hospitali baada ya kushonwa nyuzi tano, Kili amesema walitaka kumpoteza lakini Mungu amaemsaidia.

Pole sana @kili_paul