Subscribe Us

Header Ads

Mbowe awasili kanisani





Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewasili katika Kanisa Kuu la Azania Front kwa ajili ya ibada ya shukrani leo Jumapili Machi 6, 2022.


Mbowe na wenzake watatu juzi Ijumaa Machi walifutiwa kesi ya ugaidi iliyokuwa ikiwaakabili.


Kesi hiyo ilifutwa baada ya siku 216 kupita tangu ilipoanza kusikilizwa Jumanne ya Agosti 31, 2021 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.


Leo Jumapili saa 3:30 Mbowe aliwawasili katika kanisa Azania Front lililopo Posta Jijini Dar es Salaam kwa ajili kushiriki ibada ikiwa ni pamoja na kutoa shukrani.