Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan arejea nchini akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE nakupokelewa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Februari, 2022.
