Subscribe Us

Header Ads

MTANZANIA KELVIN JOHN ANAYECHEZA GENK APANDISHWA TIMU KUBWA

 


Club ya KRC Genk ya Ubelgiji imetangaza rasmi kumpandisha Mtanzania Kelvin John katika timu ya wakubwa akitokea Timu ya Unde-21

Kelvin amekuwa na wakati mzuri akiwa na kikosi cha vijana na hata January 2022 alifunga hart-trick katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Royal Antwerp .