Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limetangaza kuwekea vikwazo timu ya Taifa ya Urusi.

Taarifa iliyotolewa na Shirikisho hilo imeitaka Urusi icheze michezo yao yote bila Mashabiki na haitatumia kiwanja chao cha nyumbani na katika kila mechi watakayocheza hawataimba wimbo wao wa Taifa na bendera yao kutoonekana.
Hii ni mara ya kwanza kwa FIFA kutoa vikwazo vigumu kwa timu tangu Shirikisho hilo lianzishwe mwaka 1904.