Subscribe Us

Header Ads

CUF yamsimamisha uongozi makamu mwenyekiti wa chama hicho

Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha CUF limemsimamisha Uongozi Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar, Abbas Juma Muhunzi kwa kukiuka Maadili ya Uongozi

Baada ya wajumbe wa Baraza kupokea tuhuma hizo mlalamikiwa alipewa nafasi ya kujitetea na kukiri kufanya makosa yaliyoelekezwa kwake ambapo wajumbe 42 kati ya 55 waliridhia Muhunzi kusimamishwa Uongozi